Wang Yi, atazuru nchi za Ethiopia, Somalia, Tanzania na Lesotho, ziara ambayo wadadisi wa mambo wanasema ni Beijing kutaka kuimarisha mizizi ya ushirikiano wake na bara la Afrika hasa wakati huu ...
Hatua ya Waziri wa Mambo ya nje wa Israel Gideon Saar kuzuru jimbo la Somaliland siku 10 baada ya kulitambua jimbo hilo kama nchi huru, imeshtumiwa vikali na Somalia ambayo imetaja kitendo hicho kama ...
Rais wa China Xi Jinping anatarajiwa kukutana na Rais wa Korea Kusini Lee Jae-myung nchini China Januari 5 mwaka huu. Wachambuzi wa mambo wanasema Xi anaweza kutoa wito kwa Korea Kusini iungane na ...
Tangu alipochukua madaraka, Kapteni Traoré amekabiliwa na majaribio mawili ya mapinduzi na pia anakabiliwa na ongezeko la vurugu za wanajihadi. Ambia Hirsi & Rashid Abdallah Washirika wa Ulaya ...
Rais Maduro na mke wake wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama ya kufanya ugaidi wa dawa za kulevya na kuingiza nchini humo kokeni, kumiliki bunduki za rashasha na vifaa vya uharibifu dhidi ya ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar yuko ziarani Somaliland katika hatua inayotajwa kuwa ya kihistoria na yenye uzito mkubwa wa kisiasa na kidiplomasia. Waziri wa mambo ya nje wa Israel ...
While ODM lawmakers said the matter should be handled strictly as a police issue rather than a party affair, the incident has attracted attention due to the public profiles of the two leaders. In ...