Afrika Kusini inashuhudia kampeni kali ya kupinga watoto wa wahamiaji kupata elimu katika shule za umma, hali inayozua hofu, ...
Mamlaka ya magereza Uganda yamefichua kuwahudumia watoto wachanga zaidi ya 290 wanaoishi na mama zao wafungwa, hali iliyozua ...
Mkuu wa shirika la misaada la kimataifa anaonya kwamba mustakabali wa mamilioni ya watoto uko hatarini kutokana na kupunguzwa kwa misaada ya kigeni na Marekani, jambo ambalo linawazuia kupokea msaada ...
Binti wa Keira alipozaliwa Novemba mwaka jana, alipewa saa mbili za kuwa naye kabla mtoto huyo hajachukuliwa kupelekwa chumba cha kuweka watoto wachanga na kisha kuchukuliwa na huduma za kijamii.
Ukatili wa kingono dhidi ya watoto ni tatizo la linalojirudi na la kimfumo ambalo linaendelea kuwa mbaya zaidi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kulingana na ripoti mpya ya UNICEF ...
KUNA msemo usemao kwamba “mtoto wa nyoka ni nyoka” au ule wa “maji hufuata mkondo”. Watu wamekuwa wakitumia misemo hiyo mara ...
KATIKA kuhakikisha vitendo vya ukatili kwa watoto vinakomeshwa kwenye jamii, serikali iliweka miongozo mbalimbali ya kuweza ...
Ripoti muhimu imefichua kuwa Service Australia ilikwepa kwa makusudi sheria za malezi ya watoto kwa muda wa miaka sita, ikiwa ...
Ilimchukua msichana anayeitwa Isobel, 13, chini ya dakika tano tu kukwepa kanuni za marufuku mpya ambayo Australia inapanga kuziweka ili kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto. Msichana ...