Finland imeshika tena nafasi ya kwanza duniani kama nchi yenye furaha zaidi, kwa mwaka wa nane mfululizo. Hata hivyo, kwa Wafinlandi wengi, uzuri wa nchi yao haupo tu katika tuzo au takwimu, bali ...
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, na kwa mara ya saba mfululizo, nchi ya Finland imetangazwa kuwa nchi ambayo raia wake wana furaha zaidi duniani. Finland inafuatiwa na majirani zake wa eneo la ...